Fomu ya Mapendekezo ya Kuwa Mshirika
Msimu wa Mashindano ya Swahiba Mjenzi 2026/27
Maelekezo / Instructions
- • Jaza fomu hii kama unakusudia kuwa mshirika wa Msimu wa Mashindano ya Swahiba Mjenzi 2026/27 kupitia sehemu ya "Ombi Jipya."
- • Baada ya kuwasilisha maombi, utapata nambari ya ombi.
- • Tumia nambari hiyo kufuatilia maendeleo ya maombi yako kupitia sehemu ya "Ombi Linaloendelea."
- • Utapokea nakala ya fomu uliyojaza kupitia barua pepe utakayoingiza kwenye mfumo. Nakala hiyo itakuwa kama fomu iliyosainiwa.
- • Endapo ombi lako litakubaliwa, utapokea Mkataba wa Ushirikiano (MoU) kupitia mfumo. Kituo kitapaswa kusaini na kuirudisha kwenye mfumo.
- • Baada ya hapo kutafanyika kikao rasmi kati ya uongozi wa Swahiba Mjenzi na kituo chako ili kujadili makubaliano na kupanga ratiba za utekelezaji.
Hatua 1/8: Taarifa za Kampuni
Faida kwa Mshirika (Chombo cha Habari)
- • Exclusive za Mashindano
- • Kipaumbele cha Matangazo kutoka kwa Wadhamini (kama wapo)
- • Maudhui ya Vipindi vya Michezo vya Kituo Husika
- • Fursa ya Kujitaja, Kutajwa na Kuonekana katika Matukio ya Swahiba Mjenzi
- • Kuwapata Viongozi wa Swahiba Mjenzi kama Sehemu ya Maudhui
- • Haki ya Kutafuta Wadhamini kupitia Programu za Mashindano ya Swahiba Mjenzi kwa manufaa ya kituo na washiriki wa mashindano
