SWAHIBA MJENZI
The best grassroot football tournaments designer & organizer
Wabunifu na waratibu bora wa mashindano ya soka ya ngazi ya chini/mtaani
The best grassroot football tournaments designer & organizer
Wabunifu na waratibu bora wa mashindano ya soka ya ngazi ya chini/mtaani
We design and present the most prestigious football tournaments in Dodoma and Central Zone. Our main objective being contribution toward grassroots football development.
Our Strategy sets out the vision and objectives; Bridging the value, by ensuring that grassroot gets its deserving attention and visibility by forging high quality competition equaling high level for the very best of players, clubs and footballs associations.
Entire tournament receives dedicated media coverage, airtime in sports program, live broadcasting, jingles, mentions, giving full value to the sponsors
Tunasanifu na kuwasilisha mashindano ya mpira wa miguu yenye hadhi zaidi Dodoma na Kanda ya Kati. Lengo letu kuu likiwa ni mchango katika maendeleo ya soka mashinani/mitaani.
Mkakati wetu unazingatia dira na malengo; Kuunganisha thamani, kwa kuhakikisha kwamba ngazi ya chini inapata uangalizi na mwonekano wake unaostahiki kwa kubuni ushindani wa hali ya juu unaolingana na mashindano ya kiwango cha juu kwa faida ya wachezaji vilabu na vyama vya soka.
Mashindano yote hupokea matangazo maalum ya vyombo vya habari, kupatiwa muda wa maongezi katika vipindi vya michezo, utangazaji wa moja kwa moja, jingles, kutajwa, yote katika kutoa thamani kamili kwa wadhamini.